Showing posts with label HABARI ZA KITAIFA. Show all posts
Showing posts with label HABARI ZA KITAIFA. Show all posts

TAMASHA LA 43 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO UFUNGUZI OKTOBA 23, 2024

TAMASHA la 43 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) linatarajiwa kufanyika kwa siku nne ambapo litafunguliwa na Waziri wa Uta...
Read More

REA INATEKELEZA MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA VITENDO

-MITUNGI YA GESI (LPG) 452,445 KUSAMBAZWA KWA BEI YA RUZUKU
Read More

SHULE ZA MBEYA KUFANYIWA UKARABATI MKUBWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, ametangaza mpango mkubwa wa kuboresha miundombinu ya shule za msingi ndani ya jiji hilo,...
Read More

MHE. PINDA AKUTANA NA MABALOZI WA SADC WANAOWAKILISHA NCHI ZAO BOTSWANA

Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC-SEOM) Mhe. Mizengo Pinda, amekutana na Mabalozi ...
Read More

MHE. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI YA BOTSWANA JIJINI GABORONE

Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC-SEOM) Mhe. Mizengo Pinda, amekutana na Waziri wa...
Read More

TEA YAPITIA NA KUTATHMINI MPANGO MKAKATI WAKE WA UTEKELEZAJI.

Menejimenti ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Erasmus Kipesha, imekutana kwa siku mbili kuanzia Oktoba ...
Read More

PINDA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC

Mkuu wa Missoni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Africa (SADC-SEOM) Mheshimiwa Mizengo Pinda, amekutana na kuz...
Read More

Watanzania 31,282,331 Wajiandikisha Kupiga Kura kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema jumla ya watanzania 31,282,331 wa...
Read More

MHE. PINDA AFUNGA MAFUNZO MAALUM KWA WAANGALIZI WA UCHAGUZI WA SADC

Mkuu wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (𝗦𝗔𝗗𝗖- SEOM) Mhe. Mizengo Pinda amefunga mafunzo maal...
Read More

MHE. PINDA APOKEA TAARIFA YA MAANDALIZI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI NCHINI BOTSWANA

Mkuu wa Misheni ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Uangalizi wa Uchaguzi Mkuu nchini Botswana (SEOM) Mhe. Mizengo Pinda ame...
Read More

PINDA AIPONGEZA SADC KUIMARISHA DEMOKRASIA

Na: Fortunatus Charles Kasomfi, Gaborone, Botswana. Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, ameipongeza Jumuiya ya maendeleo...
Read More

Ushirikiano wa UNESCO na Alwaleed Philanthropies Watangaza Mradi wa Maendeleo kupitia Utamaduni Nchini Tanzania

Na Rose Ngunangwa Dar Es Salaam UNESCO kwa kushirikiana na Alwaleed Philanthropies, imezindua mradi unaolenga kuiwezesha jamii kutumia Utama...
Read More

MHESHIMIWA PINDA AWASILI GABORONE KUONGOZA MISHENI YA UANGALIZI YA UCHAGUZI YA SADC NCHINI BOTSWANA

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda amewasili jijini Gaborone, Botswana tarehe 19 Oktoba...
Read More

NAIBU WAZIRI PINDA AJIANDIKISHA KIJIJINI KWAKE KIBAONI

Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akiajiandikisha kwenye orodha ya mpiga k...
Read More

Msaada wa TBS Wafanikisha Ujenzi wa Vyoo Mpya Shule ya Chamugasa

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesaidia utatuzi wa changamoto ya upungufu wa vyoo katika shule ya msingi Chamugasa iliyopo Kata ya Kale...
Read More

WAUGUZI 200 CHALINZE WAPATIWA MITUNGI YA GESI YAKIWA NA MAJIKO

Na Mwandishi Wetu,Chalinze WAUGUZI 200 katika Halmashauri ya Wilaya Chalinze Mkoani Pwani ambao wanaohudumia wamama wenye watoto njiti wamep...
Read More

BALOZI BWANA AMKABIDHI KATIBU MTENDAJI WA SEKRETARIETI YA SADC BARUA YA UTEUZI WA KIONGOZI MKUU WA TIMU YA SADC YA WAANGALIZI WA UCHAGUZI

Na: Fortunatus Charles Kasomf Gaborone Botswana Balozi wa Tanzania anayehudumu katika nchi za Jamhuri Afrika Kusini, Falme ya Lesotho, Jamhu...
Read More