Friday, July 12, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA NETHERLAND ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Netherland nchini Tanzania, Mhe. Ad Koekkoek, aliyemaliza muda wake nchini, wakati alipofika kumuaga Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment