Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi za kwanza kunufaika na mpango wa rais wa marekani ujulikanao kama Power for Africa ili kusaidia kuondoa tatizo la nishati ya umeme nchini ambao utakaosambazwa hadi vijijini na kusaidia kupunguza tatizo la umaskini.
No comments:
Post a Comment