| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, mara baada ya Swala ya Iddi iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo . Picha na OMR |
No comments:
Post a Comment