Saturday, November 22, 2014

AL SHABAB WAKIRI KUTEKA BASI NA KUUA WATU 28 KENYA

Al Shabaab lakiri kutekelza shambulizi nchini kenya
Kundi la Al Shabaab nchini Somali linasema kuwa limefanya mashambulizi ya abiria 28 katika basi moja kazkazini mashariki mwa kenya.
Basi hilo ambalo lilikuwa likiwabeba abiria 60 lilitekwa katika jimbo la mandera lilipokuwa likelekea mjini Nairobi.
Abiria mmoja ambaye alinusurika ameiambia BBC vile raia wasio wa Somali walitengwa na wengine na wale ambao hawakuweza kusoma aya ya Quran walipigwa risasi kwa karibu.
Katika taarifa yake al Shabaab limesema kuwa mashambulizi hayo ni ya kulipiza kisasi mauaji ya waislamu huko Mombasa yaliotekelezwa na vikosi vya usalama vya kenya.
Kenya imekumbwa na misururu ya mashambulizi ya risasi na mabomu yanayodaiwa kutekelezwa na kundi la Alshabaa tangu vikosi vyake viingie nchini Somali.
The bodies of 28 non-Muslims who were executed today by Islamic Shebab lie on the ground in Mandera, before being taken to a nearby hospital
Miili ya watu 28 wasio Waislamu waliotekwa na kikundi cha Shabab ikiwa imelazwa uwanjani mjini Mandera, kabla ya kupelekwa hospitali ya jirani
Among the victims were several children, who were shot in the head at point-blank range alongside the other victims
Miongoni mwa wahanga walikuwa watoto kadhaa ambao walipigwa risasi kichwani

No comments:

Post a Comment