Friday, June 26, 2015

MKRUGENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHINA AKUTANA NA MKURUGENZI WA WIZARA YA UCHUKUZI

Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw. Gabriel Migire (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanja cha Guang Dong cha nchini China, Bw. Wen Wenxing wakati ujumbe huo ulipokutana na uongozi wa Wizara ya Uchukuzi, leo asubuhi.

Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw. Gabriel Migire (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanja cha Guang Dong cha nchini China, Bw. Wen Wenxing wakati ujumbe huo ulipokutana na uongozi wa Wizara ya Uchukuzi, leo asubuhi.

(HABARI PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- UCHUKUZI)

No comments:

Post a Comment