MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA SADNEY URIKHOB MAZOEZINI LEO MOROGORO

Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia, Sadney Urikhob akiwa mazoezini na timu yake, Yanga SC leo viwanja wa Chuo cha Biblia, Bigwa mkoani Morogoro baada ya kujiunga nayo jana kwa maandalizi ya msimu mpya 
Kocha Msaidizi, Mzambia Noel Mwandila akitoa maelekezo kwa Sadney Urikhob leo
Sadney Urikhob iakionyesha uhodari wake wa kumiliki mpira mazoezini leo  
Sadney Urikhob akiwa mazoezini leo Uwanja wa Chuo cha Biblia, Bingwa mkoani Morogoro 
Sadney Urikhob akisikiliza maelekezo ya kocha Msaidizi, Mzambia Noel Mwandila

Share on Google Plus

About Mahmoud Bin Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment