RIDHIWANI KIKWETE KATIKA SHUGHULI ZA KUKIKENGA CHAMA


MBUNGE wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Jakaya Kikwete Weekend hii ameitumia Wilayani kwake, kuendelea na shughuli ya kukiiimarisha Chama @ccm_tanzania kwa kushiriki vikao vya Wilaya na kugawa vifaa kuwezesha Usajiri wa Wanachama kidigitali katika kata zote za Chalinze. Chama kitajengwa Na Wanachama. #KaziInaendelea #CCMChama





Share on Google Plus

About Mahmoud Bin Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment