![]() |
| Uzinduzi |
![]() |
| Dk. Shein akisalimiana na Mzee Bakhresa alipowasili eneo la Gati hiyo ya kisasa |
![]() |
| Hapa sasa safi kabisa; Mzee Bakhresa akimuongoza Dk. Shein kujionea sehemu mbalimbali za Gati hiyo |
![]() |
| Mzee umefanya jambo kubwa na la heri; Dk. Sheik akizungumza na Mzee Bakhresa katika meza kuu wakati sherehe za uzinduzi wa Gati hiyo |
![]() |
| Anamwaga wino; Dk. Shein akisaini kitabu cha wageni wa Azam Marine pembeni ya Mzee Bakhresa |
![]() |
| Kwenda chini; Mzee Bakhresa akimuelekeza jambo Dk. Shein na msafara wake wakati akikagua gati hiyo |
![]() |
| Twende kule ukaone zaidi; Mzee Bakhresa akimuongoza Dk. Shein |
![]() |
| Si unaona mwenyewe; Mzee Bakhresa akimuelekeza kitu Dk. Shein |
![]() |
| Tuanzie kule; Mzee Bakhresa na Dk Shein |
![]() |
| Nimekubali Mzee; Dk Shein akijionea uzuri wa Gati mpya...Mzee Bakhresa kulia |
![]() |
| Watoto hawa walitoa burudani nzuri wakati wa sherehe za uzinduzi wa Gati |
![]() |
| Utamaduni; Wakicheza ngoma ya asili |
![]() |
| Vibinti vya Kizenji; Watoto wa kike nao walitoa burudani |
![]() |
| Mzee Bakhresa akiwa na Mkuu wa Idara ya Ulinzi ya S.S.B., Abood Mzee Mbwana katika Lounge ya VIP ya Gati hiyo |
.gif)

















0 comments:
Post a Comment