MAMA SALMA KIKWETE AFANYA KAMPENI KATA ZA NACHINGWEA NA MINGOYO LINDI

 Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete akimjulia hali mtoto mdogo aliyebebwa na mama yake wakati Mama Salma akiingia kwenye sehemu ya mkutano wa kampeni katika Kata ya Mingoyo huko Lindi.
 Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Mingoyo pamoja na wagombea uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 14.12.2014.
 Viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea pamoja na wagombea uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wakiwa katika kikao na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mama Salma Kikwete (hayupo pichani).
 Viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea pamoja na wagombea uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wakiwa katika kikao na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mama Salma Kikwete (hayupo pichani).
 Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014.

 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014
 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014.
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014. PICHA NA  JOHN  LUKUWI. 
Share on Google Plus

About Mahmoud Bin Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment