HIZI NDIZO JEZI ZIKAZOTUMIWA NA TIMU ZOTE ZA LIGI KUU MSIMU UJAO

Wanamitindo wakionyesha jezi za African Lyon watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao unaoanza mwishoni mwa mwezi huu katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu zote za ligi kutoka kwa wadhamini, Vodacom Tanzania iliyofanyika leo mjini Dar es Salaam
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Azam FC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
Wanamitindo wakionyesha jezi za Azam FC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Prisons FC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za timu mbalimbali watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao katika hafla iliyofanyika leo mjini Dar es Salaam
 Wanamitindo wakionyesha jezi za JKT Ruvu watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Majimaji watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Mbeya City watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
Wanamitindo wakionyesha jezi za Mtibwa Sugar watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Ndanda FC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Ruvu Shooting watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Simba SC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Simba watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Simba watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Stand United watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Toto Africans watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Marefa watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
 Wanamitindo wakionyesha jezi za Yanga SC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao

Share on Google Plus

About Mahmoud Bin Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment