SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeboresha zawadi za mashindano ya klabu na timu za taifa katika michuno yake mbalimbali kuanzia mwaka 2017 hadi 2019.
Hatua hiyo inafuatia kikao kilichofanyika Septemba 27, mwaka huu mjini Cairo, Misri.
Taarifa kutoka makao makuu ya CAF, Mtaa wa Abdel Khalek Tharwat mjini El Hay El Motamayez, Misri imesema kwamba maboresho hayo yanahusu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa fainali za 2017 na 2019, Fainali mbili zijazo za Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa miaka miwili ijayo.
Ikumbukwe CAF imeongeza idadi ya timu za kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabinhgwa kutoka nane hadi 16.)
Hatua hiyo inafuatia kikao kilichofanyika Septemba 27, mwaka huu mjini Cairo, Misri.
Taarifa kutoka makao makuu ya CAF, Mtaa wa Abdel Khalek Tharwat mjini El Hay El Motamayez, Misri imesema kwamba maboresho hayo yanahusu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa fainali za 2017 na 2019, Fainali mbili zijazo za Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa miaka miwili ijayo.
Ikumbukwe CAF imeongeza idadi ya timu za kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabinhgwa kutoka nane hadi 16.)
Zawadi za sasa (Daola za Kimarekani)
|
2017-2020
(Daola za Kimarekani) |
Ongezeko (%)
| |
Mshindi
|
1,500,000
|
4,000,000
|
166%
|
Mshindi wa pili
|
1,000,000
|
2,000,000
|
100%
|
Nusu Fainali
|
750,000
|
1,500,000
|
100%
|
Robo Fainali
|
600,000
|
800,000
|
33.33%
|
Mshindi wa tatu wa kundi
|
500,000
|
575,000
|
15%
|
Mshindi wa nne wa kundi
|
400,000
|
475,000
|
18.75%
|
Kiasi cha jumla
|
10,000,000
|
16,400,000
|
64%
|
Zawadi ya sasa
|
2017-2020 (USD)
|
Increase (%)
| |
Mshindi
|
1,500,000
|
2,500,000
|
66.67%
|
Mshindi wa pili
|
1,000,000
|
1,250,000
|
25%
|
Nusu Fainali
|
700,000
|
875,000
|
25%
|
Robo Fainali
|
Not applicable
|
650,000
|
Not applicable
|
Mshindi wa tatu
|
500,000
|
550,000
|
10%
|
Mshindi wa nne wa kundi
|
400,000
|
550,000
|
37.50%
|
Jumla
|
5,700,000
|
12,500,000
|
119.30%
|
3. Kombe la Shirikisho Afrika
(Note: Timu za hatua ya makundi zimeongezwa kutoka nane hadi 16
(Note: Timu za hatua ya makundi zimeongezwa kutoka nane hadi 16
Zawadi za sasa
(Daola za Kimarekani) |
2017-2020 (Daola za Kimarekani)
|
Increase (%)
| |
Mshindi
|
660,000
|
1,250,000
|
89.39%
|
Mshindi wa pili
|
455,000
|
625,000
|
37.36%
|
Nusu Fainali
|
265,000
|
450,000
|
69.81%
|
Robo Fainali
|
Not applicable
|
350,000
|
Not applicable
|
Mshindi wa tatu
|
195,000
|
275,000
|
41.03%
|
Mshindi wa nne
|
165,000
|
275,000
|
66.67%
|
Jumla
|
2,365,000
|
6,375,000
|
169.50%
|
4. Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN)
Zawadi za sasa (Dola za Kimarekani)
|
2017-2020
(Dola za Kimarekani) |
Increase (%)
| |
Mshindi
|
750,000
|
1,250,000
|
66.67%
|
Mshindi wa pili
|
400,000
|
700,000
|
75%
|
Nusu Fainali
|
250,000
|
400,000
|
60%
|
Robo Fainali
|
175,000
|
300,000
|
71.43%
|
Mshindi wa tatu
|
125,000
|
200,000
|
60%
|
Mshindi wa nne
|
100,000
|
175,000
|
75%
|
Jumla
|
3,250,000
|
5,450,000
|
67.69%
|
SSHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA
Michuano ya vijana ya U-17 na U-23, Kombe la Mataifa ya Africa, Kombe la Mataifa la Wanawake, Super Cup ya CAF
Michuano ya vijana ya U-17 na U-23, Kombe la Mataifa ya Africa, Kombe la Mataifa la Wanawake, Super Cup ya CAF
Zawadi za sasa Dola za Kimarekani
|
2017-2020 Dola za Kimarekani
|
Increase (%)
| |
Mshindi
|
100,000
|
250,000
|
150%
|
Mshindi wa pili
|
65,000
|
175,000
|
169.23%
|
Nusu Fainali
|
45,000
|
150,000
|
233.33%
|
Mshindi wa tatu
|
35,000
|
125,000
|
257.14%
|
Mshindi wa nne
|
25,000
|
100,000
|
300%
|
Jumla
|
375,000
|
1,175,000
|
213.33%
|
Zawadi za sasa Dola za Kimarekani
|
2017-2020 Dola za Kimarekani
|
Ongezeko (%)
| |
Mshindi
|
50,000
|
150,000
|
200%
|
Mshindi wa pili
|
25,000
|
100,000
|
300%
|
Nusu Fainali
|
15,000
|
75,000
|
400%
|
Mshindi wa tatu
|
10,000
|
60,000
|
500%
|
Mshindi wa nne
|
7,500
|
50,000
|
566.67%
|
Jumla
|
140,000
|
620,000
|
442.86%
|
Current Cycle (USD)
|
2017-2020 (USD)
|
Increase (%)
| |
Mshindi
|
50,000
|
80,000
|
60%
|
Mshindi wa pili
|
25,000
|
40,000
|
60%
|
Nusu Fainali
|
15,000
|
25,000
|
66.66%
|
Mshindi ya wa tatu
|
10,000
|
20,000
|
100%
|
Mshidini wa nne
|
7,500
|
20,000
|
166.66%
|
Jumla
|
140,000
|
250,000
|
78.57%
|
Zawadi za sasa Dola za Kimarekani
|
2017-2020 Dola za Kimarekani
|
Increase (%)
| |
Mshindi
|
250,000
|
350,000
|
40%
|
Mshindi wa
|
175,000
|
250,000
|
42.86%
|
Nusu Fainali
|
125,000
|
175,000
|
40%
|
Mshindi wa tatu
|
100,000
|
150,000
|
50%
|
Mshindi wanne
|
75,000
|
100,000
|
33.33%
|
Jumla
|
1,025,000
|
1,450,000
|
41.46%
|
Zawadi za sasa Dola za Kimarekani
|
2017-2020 Dola za Kimarekani
|
Increase (%)
| |
Mshindi
|
75,000
|
100,000
|
33.33%
|
Mshindi wa pili
|
50,000
|
75,000
|
50%
|
Jumla
|
125,000
|
175,000
|
40%
|
0 comments:
Post a Comment