Wednesday, November 9, 2016

CAF YAONGEZA ZAWADI MICHUANO YA AFRIKA

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeboresha zawadi za mashindano ya klabu na timu za taifa katika michuno yake mbalimbali kuanzia mwaka 2017 hadi 2019.
Hatua hiyo inafuatia kikao kilichofanyika Septemba 27, mwaka huu mjini Cairo, Misri.
Taarifa kutoka makao makuu ya CAF, Mtaa wa Abdel Khalek Tharwat mjini El Hay El Motamayez, Misri imesema kwamba maboresho hayo yanahusu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa fainali za 2017 na 2019, Fainali mbili zijazo za Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa miaka miwili ijayo.
Ikumbukwe CAF imeongeza idadi ya timu za kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabinhgwa kutoka nane hadi 16.)

Zawadi za sasa (Daola za Kimarekani)
2017-2020 
(Daola za Kimarekani)
Ongezeko (%)
Mshindi
1,500,000
4,000,000
166%
Mshindi wa pili
1,000,000
2,000,000
100%
Nusu Fainali
750,000
1,500,000
100%
Robo Fainali
600,000
800,000
33.33%
Mshindi wa tatu wa kundi
500,000
575,000
15%
Mshindi wa nne wa kundi
400,000
475,000
18.75%
Kiasi cha jumla
10,000,000
16,400,000
64%
Zawadi ya sasa
2017-2020 (USD)
Increase (%)
Mshindi
1,500,000
2,500,000
66.67%
Mshindi wa pili
1,000,000
1,250,000
25%
Nusu Fainali
700,000
875,000
25%
Robo Fainali
Not applicable
650,000
Not applicable 
Mshindi wa tatu
500,000
550,000
10%
Mshindi wa nne wa kundi
400,000
550,000
37.50%
Jumla
5,700,000
12,500,000
119.30%
3. Kombe la Shirikisho Afrika
(Note: Timu za hatua ya makundi zimeongezwa kutoka nane hadi 16
Zawadi za sasa 
(Daola za Kimarekani)
2017-2020 (Daola za Kimarekani)
Increase (%)
Mshindi
660,000
1,250,000
89.39%
Mshindi wa pili
455,000
625,000
37.36%
Nusu Fainali
265,000
450,000
69.81%
Robo Fainali
Not applicable
350,000
Not applicable
Mshindi wa tatu
195,000
275,000
41.03%
Mshindi wa nne
165,000
275,000
66.67%
Jumla
2,365,000
6,375,000
169.50%
4. Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN)
Zawadi za sasa (Dola za Kimarekani)
2017-2020 
(Dola za Kimarekani)
Increase (%)
Mshindi
750,000
1,250,000
66.67%
Mshindi wa pili
400,000
700,000
75%
Nusu Fainali
250,000
400,000
60%
Robo Fainali
175,000
300,000
71.43%
Mshindi wa tatu
125,000
200,000
60%
Mshindi wa nne
100,000
175,000
75%
Jumla
3,250,000
5,450,000
67.69%



SSHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA
Michuano ya vijana ya U-17 na U-23, Kombe la Mataifa ya   Africa, Kombe la Mataifa la Wanawake, Super Cup ya CAF
Zawadi za sasa Dola za Kimarekani
2017-2020 Dola za Kimarekani
Increase (%)
Mshindi
100,000
250,000
150%
Mshindi wa pili
65,000
175,000
169.23%
Nusu Fainali
45,000
150,000
233.33%
Mshindi wa tatu
35,000
125,000
257.14%
Mshindi wa nne
25,000
100,000
300%
Jumla
375,000
1,175,000
213.33%
Zawadi za sasa Dola za Kimarekani
2017-2020 Dola za Kimarekani
Ongezeko (%)
Mshindi
50,000
150,000
200%
Mshindi wa pili
25,000
100,000
300%
Nusu Fainali
15,000
75,000
400%
Mshindi wa tatu
10,000
60,000
500%
Mshindi wa nne
7,500
50,000
566.67%
Jumla
140,000
620,000
442.86%
Current Cycle (USD)
2017-2020 (USD)
Increase (%)
Mshindi
50,000
80,000
60%
Mshindi wa pili
25,000
40,000
60%
Nusu Fainali
15,000
25,000
66.66%
Mshindi ya wa tatu 
10,000
20,000
100%
Mshidini wa nne
7,500
20,000
166.66%
Jumla
140,000
250,000
78.57%
Zawadi za sasa Dola za Kimarekani
2017-2020 Dola za Kimarekani
Increase (%)
Mshindi
250,000
350,000
40%
Mshindi wa 
175,000
250,000
42.86%
Nusu Fainali
125,000
175,000
40%
Mshindi wa tatu
100,000
150,000
50%
Mshindi wanne
75,000
100,000
33.33%
Jumla
1,025,000
1,450,000
41.46%
Zawadi za sasa Dola za Kimarekani
2017-2020 Dola za Kimarekani
Increase (%)
Mshindi
75,000
100,000
33.33%
Mshindi wa pili 
50,000
75,000
50%
Jumla
125,000
175,000
40%

No comments:

Post a Comment