RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MEYA WA JIMBO LA CALIFONIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Meya wa Jimbo la Califonia nchini Marekani Mstahiki  Osby Davis,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na  Meya wa Jimbo la Califonia nchini Marekani Mstahiki  Osby Davis,leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao .Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Share on Google Plus

About Mahmoud Bin Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment