RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YA CHINA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere pamoja na baadhi ya viongozi wengine mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam. PICHA NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DSM
Share on Google Plus

About Mahmoud Bin Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment