JAMALI RWAMBO AMSHUKURU MUNGU KWA KUSTAAFU SALAMA NA KUPATA MAKAZI SALAMA

 Kamanda wa polisi mstaafu, Jamal Rwambo, na mkewe, bi. Mariam Rwambo, wakizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa rasmi kwa ajili ya kumpongeza baada ya kustaafu majukumu ya kazi serikalini salama. Hafla hiyo inayoendelea hivi sasa inafanyika nyumbani kwa kamanda mstaafu huyo, Mgeni nani Kijichi, jijini Dar es Salaam.
 Miongoni mwa wageni waalikwa ni pamoja na bondia, Francis Miyeyusho (katikati).
 Sehemu ya wageni waalikwa.
 Wachezaji wa timu ya waandishi wa habari za Michezo, Taswa fc.
 Sehemu ya wageni waalikwa.
 wageni waalikwa.
 Jamali Rwambo, akiendelea kuzungumza.
Share on Google Plus

About Mahmoud Bin Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment