RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA GEITA MAREHEMU DONALD KELVIN MAX VIWANJA VYA KARIMJEE, DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Jumamosi kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam

 Mama Salma Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Jumamosi kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Rais Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu
Rais Kikwete akiwasalimia na kuwafariji familia ya marehemu
Share on Google Plus

About Mahmoud Bin Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment